Dada huo sasa uchokozi. Tafadhali ondoa hii kitu tusibubujikwe na mate bure. Lakini salama huko?
Kaka Mhango sio uchokozi au wewe unachokozeka haraka hivyo..? Huku salama tu tunapambana na kila ikiwa leo...huko kwema?
Dada huo sasa uchokozi. Tafadhali ondoa hii kitu tusibubujikwe na mate bure. Lakini salama huko?
ReplyDeleteKaka Mhango sio uchokozi au wewe unachokozeka haraka hivyo..? Huku salama tu tunapambana na kila ikiwa leo...huko kwema?
ReplyDelete