Heleni ....ambazo ni kazi za mikono ya watu kwa ubunifu safi kabisa
Na hapa ni pia ubunifu mzuri kabisa wa viatu/sandosi.
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII NA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMATATU NJEMA SANA NA OMBI LANGU NI KWAMBA TUDUMISHE UTAMADNI WETU....Kapulya wenu...!
Pole kwa majukumu, Mtani mbona uko kimya sana masuala ya asili tangu utupe uhondo mwaka jana.
ReplyDelete