Tuesday, November 7, 2017

LEO NIMEKUMBUKA ZILIPENDWA


Hakika nisikilizipo miziki aina hii nakuwa na furaha ya pekee maana mtu waweza kusikiliza na kujifunza kitu ...JUMANNE NJEMA WAPENDWA WA ZILIPENDWA.

2 comments:

  1. Yah, ahsante ndugu wangu, zilipendwa dhahabu, kuzipata ni ajabu, wazipenda kwa adabu, ili upate thawabu.

    ReplyDelete
  2. Ahsante nawe pia ni muda sijakusikia nimefurahi sana... Karibu sana ndugu wa mimi

    ReplyDelete