Wednesday, November 22, 2017

MSIMU WA BARIDI ....THERUJI YA KWANZA KUANGUKA KUONA NYASI TENA MPAKA MWEZI WA NNE:-(

Leo huku nje ni kimbembe thuriji imeanza kuanguka juzi, lakini leo ndo kwanza inazidi na upepo juu....Ni taarifa tu kwa ufupi. Nawatakieni siku njema.

5 comments:

  1. Dada huko cha mtoto. Huku theruji ilianza wiki tatu zilizopita na kimbembe kweli kweli. Si unajua tena mwisho wa dunia.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango! duh pole sana ila ndo maisha. Eti mwisho wa dunia...

    Juma Mtwana..Ahsante sana.

    ReplyDelete
  3. Ndiyo. Sisi tuko mwisho wa dunia kwenye mzingo wa kaskazini.

    ReplyDelete
  4. Duh! ngoja nipange nije huku ila naja wakati wa joto:-)

    ReplyDelete