IJUMAA YA LEO TUANGALIE/TUCHEZE NGOMA YA MGANDA AMBAYO NI NGOMA MAARUFU ZIWA NYASA
Ngoma ya mganda ni miongoni mwa ngoma maarufu Tanzania ambayo inapatikana mwambao mwa ziwa Nyasa Mkoa wa Ruvuma. Ngoma hii pia maarufu katika nchi ya Malawi. Natumaini utaifurahia basi nikutakieni mwisho mwema wa juma hili. IJUMAA NJEMA!
Nawe piaaaa
ReplyDeleteAhsante sana ndugu yangu
ReplyDelete