Wiki inakaribia kwisha sasa leo ni ALHAMIS nami nimeona hii iwe picha ya wiki hii sio mbaya kama ikiwezekana kufanya utalii wa ndani ili kupumzisha akili...
Chanzo cha picha ni kutoka kwa blog ya Mjegwa. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA. UJUMBE: TUKUMBUKANE SISI SOTE NI WANANDUGU
Amen naiwe njema kwako pia
ReplyDeleteNdugu yangu Emac ahsante sana kutoacha kuwa nami...
ReplyDelete