Saturday, June 3, 2017

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KIJANA WETU ERIK..HONGERA

LEO KIJANA WETU ERIK ANATIMIZA MIAKA  MIAKA KUMI NA SABA (17)  AHSATE MUNGU. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MWANATU ERIK..

6 comments:

  1. Mashaallah Erik Mungu akupe furaha na adabu uwe tunda jema kwa wazazi.Happy Birth Day Erik.

    ReplyDelete
  2. Nachukua nafasi hii kuandija haya kwa niaba ya Erik...Ahsante mjomba.

    ReplyDelete
  3. Happy birthday kaka Erik Mungu aendelee kukubariki katika yote..ukawe abaraka kwa watu wote..

    ReplyDelete
  4. Hongera zake kijana na hongera kwa familia nzima.

    ReplyDelete
  5. Mama mdogo Kachiki, mjomba Ncky na mjomba Mbele Ahsanteni sana kwa niaba ya Erik. Nasi wazazi na wanafamilia twasema pia ahsante kwa kusherekea siku ya kijana Erik.

    ReplyDelete