Hapa yupo katika maandalizi....kisherea hapa huvaa gauni nyeupe na kofia nyeupe...
Hapa ilikuwa juzi katika sherehe ya kuhitimu Sekondari ( GRADUATION) Hapa huanza na sherehe na baadaye ndiyo kupokea cheti cha kuhitimu.
Na hapa alikuwa na msindikizaji wake kaka Philip.
picha zaidi zitakuja ambazo zitakuwa na maelezo zaidi na labdda maakuli na shamrashamra...haya baadaye kidogo
HONGERA SANA KWA KUKUZA, KUSOMESHA, NA MPE PONGEZI ZANGU KWAKE, KWA KUWEZA KUFIKIA HAPO, NATUMAI ATAENDELEA MBELE ZAIDI.
ReplyDeleteNdugu yangu emu-three ahsante sana kwa pongezi pia kuwa nasi siku hiyo kwa kuonyesha ushirikiano wako.
ReplyDeleteHongera Camilla, Pia Mama na baba Camilla kumsomesha hata kufikia hapo. Swali huyo msinfdikizaji ni nani? Ndugu au rafiki yake tu? Nilidhania atakuwa Erick. Hahahah.......,haya dada sasa utapata mkweee......
ReplyDeleteAhsante sana sana.. huyo msindikizaji ni mwanafunzi mwenzake. ..
ReplyDelete