Wednesday, May 3, 2017

PALE MNGONI ANAPOTAMANI KWAKE RUHUWIKO KULA ALIVYOPANDA

KAZI YA MIKONO YANGU ..NDIZI

Mtoto wa mkulima ni mkulima. Utakula ulichopanda, lakini pia mkulima ni mmoja lakini walaji wengi. leo nimeikumbuka sana migomba yangu  nakula kwa macho tu:-)

3 comments:

  1. pole mwayego hata mimi umenitamanisha sasa...

    ReplyDelete
  2. NI KWELI DADA YANGU YASII1!!!

    ReplyDelete
  3. Kachiki wa mimi...itabidi tufunge safari pamoja. ...
    Kaka Ray ....nimekumiss

    ReplyDelete