Tuesday, May 23, 2017

MBOGA NA MATUNDA NI MUHIMU KWA KILA BINADAMU

Lakini pia inasemekena tuwe makini , yaani kila kitu kiwe wastani tusizidishe. Maana utakuta mtu anaacha kula vyakula vingine na akawa anakula matunda tu...kumbuka katika matunda kuna sukari sana. NI UJUMBE WANGU KWENU...Kapulya wenu.

No comments:

Post a Comment