Linaweza likawa vazi la taifa ila embu tizama matumizi yake kwa sasa yapoje hapa nchin utaona thahiri kwamba watu wanalichukulia kama vazi la kuwatamanisha wanaume au kutuweka katika hali ya majaribu sasa ni matumizi mabaya ya vazi hili na kulishusha thamani.

ReplyDeleteKaka Pius usemalo nalo ni kweli lakini labda likiwa vazi la kitaifa litaheshimiwa na kuwekewa thamani
ReplyDelete