Sunday, May 7, 2017

HUU NI MSIBA WA TAIFA ULIOTOKEA MEI SITA /POLENI SANA WANAKARATU

KWA PAMOJA WATANZANIA  TUNALIA...KIKUBWA TUWAOMBWA MALAIKA HAWA
PUMZIKENI KWA AMANI  TULIKUWA BADO TUNAWAHITA lakini wote tunapita katika hii dunia . Mmetangulia nasi tutafuta . Pole kwa wazazi/walezi Mwenywzi Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu cha majonzi na maombelezo.

No comments:

Post a Comment