Thursday, April 6, 2017

NGOJA LEO TUANGALIE:- MISINGI SITA YA KUWA NA FURAHA KATIKA MAISHA

TABASAMU 
1. Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3. Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
4. Toa hata kama wewe umenyimwa.
5. Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
6. Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.

No comments:

Post a Comment