Sunday, April 30, 2017

NAWATAKIENI JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA NNE.

Neno la leo; Mathayo 6.
1 Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye Mbinguni.
JUMAPILI NJEMA!

3 comments:

  1. Asante sana Kadala wa mimi..
    natumaini jumapili kwako na nafimilia ilikuwa njema..
    Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  2. EEhhh Kachiki wa mimi nilikumissije:-) Jumapili yangu ilikuwa njema sana Mungu mwema. Na natumaini nawe pia familia mlikuwa na furaha pia amani.

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nimekumissssss kadala wa mimi..ilikuwa njema wangu
    asante sana.Karibuni kwetu.

    ReplyDelete