Monday, February 6, 2017

LEO NIMEYAKUMBUKA MATUNDA HAYA ADIMU MATUNDA DAMU/TAMARILLO

Mti wa matunda damu/tamarillo ukichanua
 Hapa tayari yameiva
Mavuno tayari. 
Kama nilivyosema kwenye kichwa cha hapo juu haya matunda ni adimu na pia ukiyapata ni ghali sana..Inabidi nianze kulima .... JUMATATU/MWANZO MWEMA WA WIKI !!

3 comments:

  1. Dada Yasinta unapata wapi hizi picha nawe uko mbali hivyo.Yaani mate yamenidonoka kwa hayo matunda....nimeenda mwaka jana nyumbani sikupata hata moja la hamu.Natamani utokee muujiza nifumbue macho nikute ni kweli yako mbele yangu.Asante kwa picha nzuri dada

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Mbele:- Unajua napata nyumbani Ruhuwiko najua ni vigumu kuelewa lakini ndivyo. Na nakuelewa mate yamekudondoka ...kuna siku nilikwenda Mbinga Sokoni pia Njombe kule huwa hayakosi nadhani yanapenda baridi baridi...Ahsante kupita hapa na kuacha lako la moyoni

    ReplyDelete