Ugali, mchanganyiko wa maharege na viazi pia matembele
...na hapa ni ugali na mboga iliyoungwa karanga...
Binafsi nachagua ule mlo wa kwanza maharage na matembele kwa vile SIPENDI KABISA MBOGA au CHAKULA CHOCHOTE KILICHOWEKWA KARANGA....Ndiyo maana nimeandaa aina mbili isije nikashinda njaa:-)
Kama kawaida yako kunidondosha mate dada...na hizo sahani nazo ni kumbukumbu tosha kwangu
ReplyDeleteNi kweli kwa kweli hizo sahani duh! Ww kiboko kwa kunbukumbu...
ReplyDeleteMmhhh njaa dada wa mimi..
ReplyDeleteMimi sipendi maharage na ugali,Ugali na mboga za majani sawa,Mharage na Wali/ubwabwa nitakula mpakaaaa...
Kachiki wa mimi wala usikonde utapata chakula ukipendacho pacha wangu:-)
ReplyDelete