Ndugu yangu Mbele kwanza nachukua nafasi hii kukukaribisha katika kibaraza chetu hiki. KARIBU SANA . Na Ahsante sana kwa mcango wako...Mimi nilikuwa hata siijui soda sikuu ni togwa tu....ukiwa na bahati kama sio ni maji tu.
Hiyo kitu Pride na Super-Ghee ilikuwa kama mana kwa jamaa waaminio katika dini nyemelezi. Nakumbuka sana kitu hiyo hasa kikiwekwa kwenye uji. Wakati ule mikate haikuwa mingi kama sasa. Ukija kwenye soda ndiyo usiseme. Akipewa kitu hiyo mgeni jua ni ima mkwe au mtu maarufu. Kama alivyosema ndugu Mbele: kweli siku hazigandi. Pamoja na umaskini wa taifa letu, siku hizo maisha hayakuwa na pressure kama sasa.
Asante kwa ukaribisho.Mimi ni mdao wa blog yako kwa miaka mitatu sasa since 2014 but sikuwahi comment anything.But naipenda sana..wakati naanza kuitembelea nilikuwa najisikia niko nyumbani vile nilikuwa na miaka 15 sijaenda nyumbani.Niliondoka katoto nikarudi kijana.Napenda blog yako iko natural sana
Dada umenikumbusha mbali sana.Kweli siku hazigandi.Kipindi hicho soda kunywa mpaka sikukuu.I remember my childhood that time in Mbinga
ReplyDeleteNdugu yangu Mbele kwanza nachukua nafasi hii kukukaribisha katika kibaraza chetu hiki. KARIBU SANA . Na Ahsante sana kwa mcango wako...Mimi nilikuwa hata siijui soda sikuu ni togwa tu....ukiwa na bahati kama sio ni maji tu.
ReplyDeleteHiyo kitu Pride na Super-Ghee ilikuwa kama mana kwa jamaa waaminio katika dini nyemelezi. Nakumbuka sana kitu hiyo hasa kikiwekwa kwenye uji. Wakati ule mikate haikuwa mingi kama sasa. Ukija kwenye soda ndiyo usiseme. Akipewa kitu hiyo mgeni jua ni ima mkwe au mtu maarufu. Kama alivyosema ndugu Mbele: kweli siku hazigandi. Pamoja na umaskini wa taifa letu, siku hizo maisha hayakuwa na pressure kama sasa.
ReplyDeleteMmmm kuweka kwenye uji nimependa hiyo....ama kweli siku hazigandi
ReplyDeleteAsante kwa ukaribisho.Mimi ni mdao wa blog yako kwa miaka mitatu sasa since 2014 but sikuwahi comment anything.But naipenda sana..wakati naanza kuitembelea nilikuwa najisikia niko nyumbani vile nilikuwa na miaka 15 sijaenda nyumbani.Niliondoka katoto nikarudi kijana.Napenda blog yako iko natural sana
ReplyDeleteNafurahi kusikia hivyo...unazidi kunipa moyo wa kublog Karibu tena na tena.
ReplyDeleteAsante sana. Kabisa unafanya kazi nzuri.
ReplyDelete