LEO NI SIKU/TAREHE YANGU YA KUZALIWA
Leo ni tarehe/siku ambayo familia ya Mzee Ngonyani ilikuwa na furaha kumpatabinti yao ambaye alizaliwa siku hii ya leo. Na leo ameongeza mwaka tena na kuzidi kuzeeka. Lakini hata hivyo anapenda kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki kwa siku hii ili tumsaidie kusherekea. Na wote manakaribishwa..sana. NAWATAKIENI wengine wote wanaotimiza miaka leo pia mwezi huu wa januari. SIKU NA WAKATI MWEMA. WOTE MNAPENDWA SANA ...KAPULYA Nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama .
Hongera da Yasinta kwa siku yako ya kuzaliwa na Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingi ya furaha na amani Inshaallah. By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu ahsante sana.
ReplyDeleteHongera dada Yasinta. Ubarikiwe daima.
ReplyDeleteNdugu yangu Mbele ..ahsante sana. Nawe ubarikiwe sana.
ReplyDeleteDada nakuombea ule chumvi hadi igeuke sukari. Piga zaidi ya mia kama mama yake John McCain ambeye ana zaidi ya mia.
ReplyDeleteEeehh kaka Mhango. ..ahsante sana ila nikigikua hiyo miska mia itabidi uje kunitunza...
ReplyDeleteHongera Dada
ReplyDeleteAhsante Sapy...na karibu sana...
ReplyDeleteSijachelewa mwezi haujapita dada
ReplyDeleteMungu aendelee kukulinda na kukubariki katika yote dada wa mimi na familia yako.Akupe sawasawa na mapenzi yake
kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kadala wa mimi..
Nakupenda muuuunooo na wewe unajua hivyo.
Kachiki wa mimi... upo sahihi kabisa mwezi haujaisha na Hongera pia maombi yako yamepokelewa. Ndiyo najuwa unanipenda muno nami muno zaidi...
ReplyDeleteHBD
ReplyDelete