Usalama kwanza mengine baadaye. Huwezi kujua siri ya huyo jamaa aliyeko nyuma ya jamaa anayekimbia mbele yake. Saa nyingine wanaweza kuwepo wenye nguvu nyuma ya huyo dogo hasa ikizingatiwa kuwa yeye na binadamu huwa hawaachani. Hivyo, anachokimbia faru siyo huyo dogo au tuseme mbwa. Huwezi kujua. Huenda nyuma yake yupo bongo kubwa na bunduki yake.

ReplyDeletekaka Mhango...ni kweli nimependa sana maelezo yako..
ReplyDelete