Thursday, December 8, 2016

LEO JIKONI:- MAPISHI YA MAANDAZI

 
Leo nimepata orodha toka kwa watoto wangu baadhi ya vyakula walivyotamani ...namba moja ilikuwa maandazi...basi nikawa sina ujanja:-) kwa hiyo karibuni .

5 comments:

  1. Hii kitu zama za utoto wetu ndiyo ilikuwa zawadi na silaha kubwa. Usiposikia unaambiwa sitakuletea "maandazi" kwa wale waliokulia kwenye familia ambapo bidhaa hii ilitoka dukani tu. Sijui wengine wanasemaje. Hata mie jana bi mkubwa alikumbuka bidhaa hii na kuipika na kuliwa ikaisha.

    ReplyDelete
  2. Maandazi maandazi maandazi naomba unipostie mana sio kwa kuvutia huko......yaani nimeyatamani sana sana. Mapishi murua mdogo wangu. Barikiwa sana.

    ReplyDelete
  3. kaka Mhango hata hayo niliyopika yalichukua dakika kumi tu na yote yakaisha:-)

    Usiye na jina usiwe na hofu nakutumia ila sasa tatizo sijui nitume wapi:-)

    ReplyDelete