Tuesday, December 27, 2016

BARABARANI SEHEMU FULANI MKOANI RUVUMA ...JE? UNAJUA WAPI?

Mazingira ...barabarani sehemu fulani mkoani Ruvuma ...unajua ni wapi?....zawadi nono imeandaliwa kwa wa watano wa kwanza kujibu:-)

1 comment:

  1. ah..ah.ah..hapo ni songea mjini maeneo jirani na jengo la nssf kushoto na kulia jengo la Bima..

    ReplyDelete