Hahaha, mpendwa, kitabu hicho kinanikumbusha mbali, namkumbuka mwalimu wangu wa kwanza kuanza kunifundisha aeiou..hivi wewe unamkumbuka? Sijui yupo hai, mwalimu wangu huyo....mmh, dunia nii machweo na mateo, ukiamuka leo,ya jana yanabakia historia,..nashukuru sana ndugu wangu.
Ndugu wa mimi emu...mimi mwalimu wangu wa kwanza alikuwa baba yangu...a..e...i o u...babu...mama...duh yaani tumetoka mbali sana ndiyo maana nimekumbuka sana hiki kitabu... ni kweli mambo mengi katika hii dunia yanabaki kuwa ni historia...
Hahaha, mpendwa, kitabu hicho kinanikumbusha mbali, namkumbuka mwalimu wangu wa kwanza kuanza kunifundisha aeiou..hivi wewe unamkumbuka? Sijui yupo hai, mwalimu wangu huyo....mmh, dunia nii machweo na mateo, ukiamuka leo,ya jana yanabakia historia,..nashukuru sana ndugu wangu.
ReplyDeleteNdugu wa mimi emu...mimi mwalimu wangu wa kwanza alikuwa baba yangu...a..e...i o u...babu...mama...duh yaani tumetoka mbali sana ndiyo maana nimekumbuka sana hiki kitabu... ni kweli mambo mengi katika hii dunia yanabaki kuwa ni historia...
ReplyDeleteImenikumbusha mbali sana hii
ReplyDeleteDada P, yaani wote tumekumbuka mbali mno...ya kale dhahabu
ReplyDeleteNimekumbuka mbali sana
ReplyDelete