TUMALIZE MWEZI HUU WA TISA NA BURUDANI YA NGOMA YA ASILI YA MGANDA KUTOKA LUDEWA
Wiki, mwezi ndo unaisha sasa hivi utastukia mwaka pia umeisha. Nahisi wote mwezi huu unaisha mkiwa na afaya njema. Binafsi nipo salama...Haya tuendelee na hiyo ngoma stepu yako wee moja mbili tatu....usisahau mkia na kipenenga.... mwisho wa juma pia mwezi uwe mwenye amani na upendo...Kapulya
Hii kitu asili yake si Ludewa bali ng'ambo ya ziwa yaani kule ku dziko la Malawi. Zikomo kwa mbiri mai.
ReplyDeleteKaka Mhango upo sahihi..ni kweli asili yake huko malawi enzi zile walisemaga kwa Banda..si unakumbuka alivyokuwa akipenda kihoda:-) muli bwanji
ReplyDelete