Monday, September 12, 2016

JUMATATU YA LEO TUANZENA UJUMBE HUU...KAMWE USISAHAU HIZO AINA TATU (3) ZA WATU MAISHANI MWAKO

1. Mtu ambaye ame/alikusaidia katika /ulipokuwa na wakati mgumu.

2. Mtu aliyekuacha ukiwa na wakati mgumu.

3. Mtu aliyekuweka katika wakati mgumu.
DAIMA  PAMOJA ....KAPULYA WENU!!



3 comments:

  1. Kweli kabisa da Yasinta. Nawapa mkono wa IDD MUBARAK kwa wasomaji wote! By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Oh..kaka Salumu...ahsante. pia ahsabte kwa kutupa mkonovwa IDD MUBARAK.....

    ReplyDelete