Kwanza ilikuwa hivi ....
Baadaye dada yangu Mariam akaona juna vitu vinakosekana kama uonavyo alivyoorodhesha katika picha....
Miaka imepita na jana ndipo nilipotumiwa hii picha kwa mfano huu. Hakika sikuitambua kabisa. Na bado sijitambui maana hiyo si tabia yangu...Je wewe msomaji unauonaje huu mfano wa hii picha ya Kapulya ya mwisho?
umenoga mno dada.....maana umekuwa tofauti na tulivyokuzoea..siku moja moja fanya hivi
ReplyDeleteMama Mdogo Ester...Na wewe sasa unafikiri nitaweza kufumba macho au kulamba hiyo midomo...kusema kweli nitachekesha
ReplyDeleteKitu natural nafagilia sana. By Salumu.
ReplyDeleteits cute
ReplyDeleteKaka Salumu! Basi tupo wawili tunaofagilia natural:-)
ReplyDeleteFavor mutio....thank you!