Asante sana nimekarobia kwa macho tu. Je umevipata wapi? Naona uko tz kiaina aina. Karibu Tz sana.
Ndugu yangu usiye na jina...pole kwa kula kwa macho. Hahaaa sio nipo kiani nipo hasa. ..
Akina mama hupenda mihogo na ndizi. Kula tu.
Kaka muhango...kwani akina baba hawapendi mihogo na ndizi?...kula tu...
Hili dada yangu sijibu. Niongeze tu kuwa akina mama hupenda pia miwa. Akina baba hupenda maparachichi, madafu hasa ya kunywa kwa mrija, na vinginevyo ambavyo ni laini.
Hahaaaa.kaka yangu umenipa mtihani...
Ukiushinda nakutumia chamaki nchanga dada yangu.
Ila kakangu huu ni mtihani mkubwa sana angalao ungeniambia ni wanaume na wanawake wa wapi wanapenda kula matunda hayo...au wa aina gani?
Asante sana nimekarobia kwa macho tu. Je umevipata wapi? Naona uko tz kiaina aina. Karibu Tz sana.
ReplyDeleteNdugu yangu usiye na jina...pole kwa kula kwa macho. Hahaaa sio nipo kiani nipo hasa. ..
ReplyDeleteAkina mama hupenda mihogo na ndizi. Kula tu.
ReplyDeleteKaka muhango...kwani akina baba hawapendi mihogo na ndizi?...kula tu...
ReplyDeleteHili dada yangu sijibu. Niongeze tu kuwa akina mama hupenda pia miwa. Akina baba hupenda maparachichi, madafu hasa ya kunywa kwa mrija, na vinginevyo ambavyo ni laini.
ReplyDeleteHahaaaa.kaka yangu umenipa mtihani...
ReplyDeleteUkiushinda nakutumia chamaki nchanga dada yangu.
ReplyDeleteIla kakangu huu ni mtihani mkubwa sana angalao ungeniambia ni wanaume na wanawake wa wapi wanapenda kula matunda hayo...au wa aina gani?
ReplyDelete