Nimependa mandhari ya picha, zumari na mbinja a ndege ukiachia mbali kutosikia maneno ya wanamuziki wenyewe. Nimeshindwa kutoa credit. Sijui niseme huu muziki ni wa ndege au wanamuziki? Hata hivyo,nakupongeza kwa muziki huu mulua kweli kweli.
Kaka Mhango...najua unajua kwamba swala la muziki si lazima kujua nini kinasemwa. na huu muziki unafaa sana pale unapojikuta akili imechoka...Ahsante
Nimependa mandhari ya picha, zumari na mbinja a ndege ukiachia mbali kutosikia maneno ya wanamuziki wenyewe. Nimeshindwa kutoa credit. Sijui niseme huu muziki ni wa ndege au wanamuziki? Hata hivyo,nakupongeza kwa muziki huu mulua kweli kweli.
ReplyDeleteKaka Mhango...najua unajua kwamba swala la muziki si lazima kujua nini kinasemwa. na huu muziki unafaa sana pale unapojikuta akili imechoka...Ahsante
ReplyDelete