Friday, June 24, 2016

NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA ...NYASA HII! CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA

Ugali wa muhogo, Kisamvu, dagaa wabichi na kipande cha samaki tena kichwa...nakwambia hapo ni utamu tu....


3 comments:

  1. kitamu sana. You make my mouth watered

    ReplyDelete
  2. Kaka Nicky... Karibu sana kujumuika...nilijua tu utajawa na mate mdomoni kwa kukitamani chakula hiki....:-)

    ReplyDelete
  3. Lenele kunyanja vakemela kondowoli

    ReplyDelete