SALAAM BLOGGER....NASHUKURU KWA MANDHARI NZURI ZA SIKU ZA NYUMA ZA SONGEA..SIKU MOJA NILIKUWA NA BABA YANGU MZAZI TULIPITA MITAA HIYO AKANIAMBIA KUWA HILO JENGO KULIA LILIKUWA NDIO KITUO KIKUU CHA POLISI KABLA YA KUHAMIA KULE KILIKO SASA....NA JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA NA POLISI CID MKOA HADI MIAKA YA HIVI KARIBUNI. HAYO MAJENGO MENGINE KUSHOTO NI MAHAKAMA NA BOMA(OFISI YA SERIKALI YA MKOLONI) AMBAYO NI OFISI YA MKUU WA WILAYA KWA SASA....OFISI YA POSTA IPO HAPO PEMBENI(HAIONEKANI)JIRANI NA ILIYOKUWA POLISI NA MAGEREZA KWA MBELE...TUJUZANE KWA WALE WENYE HABARI ZAIDI...
Kaka Hansom..Kwanza Karibu sana Maisha na Mafanikio. Ulichosema ni kweli kabisa kwa kumbukumbu zangu pia...Nimefuraha sana kusoma kumbukumbu zako . Ahsante.
SALAAM BLOGGER....NASHUKURU KWA MANDHARI NZURI ZA SIKU ZA NYUMA ZA SONGEA..SIKU MOJA NILIKUWA NA BABA YANGU MZAZI TULIPITA MITAA HIYO AKANIAMBIA KUWA HILO JENGO KULIA LILIKUWA NDIO KITUO KIKUU CHA POLISI KABLA YA KUHAMIA KULE KILIKO SASA....NA JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA NA POLISI CID MKOA HADI MIAKA YA HIVI KARIBUNI. HAYO MAJENGO MENGINE KUSHOTO NI MAHAKAMA NA BOMA(OFISI YA SERIKALI YA MKOLONI) AMBAYO NI OFISI YA MKUU WA WILAYA KWA SASA....OFISI YA POSTA IPO HAPO PEMBENI(HAIONEKANI)JIRANI NA ILIYOKUWA POLISI NA MAGEREZA KWA MBELE...TUJUZANE KWA WALE WENYE HABARI ZAIDI...
ReplyDeleteKaka Hansom..Kwanza Karibu sana Maisha na Mafanikio. Ulichosema ni kweli kabisa kwa kumbukumbu zangu pia...Nimefuraha sana kusoma kumbukumbu zako . Ahsante.
ReplyDeleteHaya Kapulya..siku njema...
ReplyDeleteHahaaa Kaka Hansom kumbe unalijua hili jina:-) haya nawe Uwe na siku njema pia.
ReplyDelete