Tuesday, May 24, 2016

UJUMBE WA LEO KUTOKA KWA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUJA KWA WEWE MSOMAJI WA MAISHA NA MAFANIKIO

"MAISHA NI MAFUPI SANA, UKIAMKA ASUBUHI NA MASIKITIKO HAIFAI. KWAHIYO WAPENDE WATU WANAO KUPENDA, SAHAU WALE AMBAO HAWAKUPENDI."
TUPO PAMOJA...KAPULYA.

4 comments:

  1. Ndiyooo. Naunga hoja mia kwa mia. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu! Nami nakuunga mkono kwa kuunga hoja. Ahsante!

    ReplyDelete
  3. Ni ujumbe maridhawa na hauna madhara.Asante sana Kapulya.

    ReplyDelete
  4. Ahsante nawe pia kaka Njau...ni ujumbe maridhawa kilichobaki ni kuufanyia kazi tu:-)

    ReplyDelete