Thursday, May 19, 2016

MCHANA WA LEO:- KARIBUNI TUJUMUIKE UGALI NA SAMAKI WA KUKAANGA (VIBUA) PIA MCHUZI

Karibuni ndugu zangu tujumuike kwa chakula akipendacho Kapulya...ugali na samaki. Si mnajua ugali ndio uliotukuza...:-) Kila la kheri wote na mlo mwema....

2 comments:

  1. Ugali ni chakula bora katika ubora wake!
    Usengwili mau!

    ReplyDelete
  2. Ray...hakika ni kweli kabisa....Haya usengwili na veve dadi!

    ReplyDelete