Nakumbuka sana mtindo huu wa jiko la kuni na mafiga matatu. Tumetumia sana hadi kuwa hivi tulivyo kwa kila Aina ya mapishi....
Pia nakumbuka majiko haya pia, marehemu mama yangu alikuwa mtundu sana alikuwa akiweza kutengeneza kwa matofali na udongo jiko kama hili...ingawa hili hapa ni la sementi....lilikuwa linatunza sana moto na matumizi ya kuni yalikuwa madogo.......
Na sasa baadhi wanatumia majiko/jiko kama haya /hili lakini hapa mwenzangu mimi kaona ya kale ni bora ...Nimependa hii kwa kweli kwa namna fulani.
Hii haisomeki kabisa!!
ReplyDeleteKaka Ray! Haisomeki kabisa kivipi?
ReplyDeleteMimi bado napenda hilo jiko, linanikumbusha asili na mambo mengi sana.
ReplyDeleteso good yaani
Dada P. ni kweli itu vya asili n vizuri na baora sana ..Ahsante
ReplyDelete