Ile nyumba/kibanda yetu ya Mbinga imefikia hapa na hata mazingira sasa yanaanza kupendeza hapo tumejaribu kupanda mahindi na viazi vitamu/mbatata ...safi eehh:-9
Na hapa ni migomba ya ndizi ...Karibuni tutaongea mengine hapa.
Mazingira yanazidi kubadilika kila siku ziendevyo...hapa ni mbogamboga ...za maboga..Tutaendelea kufuatilia maendeleo ya Nyumba/kibanda hiki...
Hongera da Yasinta. Umenichokoza. Lazima nami nifanye hima niweke tubanda twetu soon. Bado mna safari ndefu kuikamilisha. Kwani sijaona parking lot, maua, servant quarters na madoido mengine. Kazaneni sana mmalize kila kitu.
ReplyDeleteHongera kwa kukumbuka kuboresha maeneo ya ulikotoka
ReplyDeleteKila la kheri.
Kaka Mhango...Ahsante sana ...nimefurahi kuona umechokozeka napenda watu kama wewe:-) ...ni kweli bado tupo safarini huo ni mwanzo tu si safari ukishaianza ni lazima uendelee....
ReplyDeleteKaka Salehe...Ahsante si unajua kwangu ni kwangu hata kukiwa porini!
Ama kweli "Home sweet Home" Hongera sana dada kwa hatua hiyo
ReplyDeleteHongereni na Mungu awabariki sana.
ReplyDeleteAhsante kaka Ray kwa baraka zako nawe ubarikiwe sana na Mungu kwa kupita hapa na kuacha yako ya moyoni....
ReplyDelete