Friday, April 15, 2016

IJUMAA YA LEO:- NIMEKUMBUKA/TAMANI MLO HUU NDIZI KWA NYAMA....

 Nimekaa hapa nhuku nikikumbuka chakula hiki NDIZI NYAMA/NDIZI KWA NYAMA  ni moja ya vyakula vya asili nivipendavyo sana ukiacha samaki kwa ugali:-) IJUMAA NJEMA NDUGU ZANGU!

2 comments:

  1. Ni mlo rasmi uchagani.
    Asante kwa kunipeleka huko kwetu kupitia blogu yako.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray! basi itabidi nihamie uchagani maani hiki chakula nahisi kuwa na udhaifu nacho...

    ReplyDelete