Juma/wiki hii imekuwa ndefu na majukumu mengi sana. Ila sasa nitapumzika siku mbili tatu na ninaamini nawe unayesoma hapa utapata nafasi ya kupumzika na kuwa na familia/ndugu, jamaa na marafiki kwani ni jambo nzuri kufanya. Karibuni tujumuike...Nilikuwa nyumbani Ruhuwiko/Songea. IJUMAA NJEMA. Kapulya.
Asante Kadala wa mimi,uwe na wakati mwema na familia.
ReplyDeleteAsante sana na kwako pia
ReplyDeleteAsante
ReplyDeleteNawe pia twakutakia mwisho mwema wa juma
Kachiki wa mimi Ahsante sana nami nasemi nawe pia Uwe na wakati mwema na familia.
ReplyDeleteNdugu Zanguni Mussa na Salehe Ahsanteni sana.....Pia Nachukua na fursa hii kukukaribisha Kaka Mussa karibu sana katika kibaraza hiki.