Baada ya kupata chai/kahawa kidogo tukawa tunaongea kuhusu makabila yetu kwa vile mimi nilikuwa nafanya utafiti wa neno MAMA kwa makabila yetu mbalimbali na kwa vile yeye ni MHAYA basi akanisaidia...:-) Ebu niona basi kama umeandika ipasavyo....
...na hapa amechukua karatasi niliyoandika kuangalia kama nimeandika inavyotakiwa......
Hapa kwa pamoja dada Meraby na mimi Mama Maisha na Mafanikio kwa pamoja tunapia orodha ya neno mama kwa makabila mbalimbali:-
Ilikuwa ni siku ya furaha sana katika Kaya yetu. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu vyakula na hasa ndizi/matoke....
Lakini mumependeza, ungepiga picha ingine umesimama........! haya MAWU nimesoma majina ni nzuri na imenifunza kitu kikubwa kujua na lugha za wengine. Ubnarikiwe.
ReplyDeleteUsiye na jina Ahsante ...Kusimama itakuwa siku nyingine sikutaka kumsimamisha mgeni jamani...Mgeni siku ya kwanza ujue....Nimefufurahi kama umejifunza lugha za wengine lakini je kwa lugha yako mnaitaje MAMA/MAWU?:-
ReplyDelete