Baada ya kukumbuka Lundo kwangu nimejikuta ninatamani na ugali huu wa muhogo na mlenda mweeh yaani utamu wake hauna maelezo kwa mtu asiye wahi kula. Hakika vyakula vya asili vina utamu Wake. Na hasa ukizingatia UGALI WA MUHOGO.... Kwa hiyo basi tulage kwa macho:-(
Mhh;asante sana kwa mlo asilia.
ReplyDeleteHakika jasiri haachi asili yake na muacha asili yake............
Kaka Ray! karibu sana si unajua mlo wa asili ulivyo mtamu...kuacha asili yako/yangu ni sawa na utumwa..nami sikubali kuwa mtumwa!
ReplyDelete