Tuesday, December 22, 2015

KUFANIKIWA SI LELEMAMA YATAKA MOYO NA UVUMILIVU NA KUJITUMA....!

Mara nyingi nimesikia watu wakisema, aise fulani yule  ana maendeleo sijui inakuwaje. Ni kwamba amevumilia, badala ya kula nyama kala mchicha kila siku, kanywa maji kila siku, kalala kwenye mkeka na hata mwanzo wa maendeleo yake ni biashara ndogondogo/ genge. Lakini utakuta wengine wengine wakikaa na kusubiri wakidhani watashushiwa na Mungu. ...TUJITUME NA MAFANIKIO TUTAYAONA.....KILA LA KHERI TUPO PAMOJA!!!

2 comments:

  1. Da Yasinta uliyosema ni kweli kabisa. Raisi wetu Magufuli atizame hili jipu lingine alifanyie kazi. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu AHSANTE! Ila hata kama rais akitazama lakini sisi wenyewe hatutaki kujituma sidhani kutakuwa na mabadiliko.

    ReplyDelete