Friday, December 18, 2015

IJUMAA YA LEO NIMEKUMBUKA MNO :ZILIPENDWA..NA NIKAONA TUMALIZE MWISHO WA JUMA HILI KWA WIMBO HUU NAPENDA NIPATE LAU NAFASI NA KILWA JAZZ BAND...KARIBUNI


MWISHO WA JUMA UWE MWEMA, FURAHA NA UPENDO KWA WOTE...KUMBUKENI BADO  WIKI MOJA TU   TUTAKUWA NA SIKUKUU YA KRISMASI!

No comments:

Post a Comment