Hongera kwa hatua uliyofikia ya uzee! hapo kama vile ulikuwa mtoto bado unasoma shule ya msingi halafu kwa sasa hivi mie ndio nakuona ni kijana, sasa sijui ni macho yangu au? Mungu azidi kukuweka katika ujana wako na usizeeke kabisa. Kila la heri.
Hakika kila zama na waja wake na waja wake ndiyo hawa.Hongera sana kwa mikono salama ya wazazi na walezi wako na sasa nawe ni mama wa familia.Salamu kwa wadau wa familia yako huko kusini nyanda za juu na ughaibuni pia.

ReplyDeleteHongera!
ReplyDeleteKwa kuenzi zilipendwa.
Kila la kheri.
usiye na jina Ahsante sana....Ila mmmmhhh wala sikuwa mwanafunzi hata kazi nilishaanza hapo...
ReplyDeleteKaka Salehe Ahsante sana kwa kupita hapa kwani ni siku nyingi sana
Hakika kila zama na waja wake na waja wake ndiyo hawa.Hongera sana kwa mikono salama ya wazazi na walezi wako na sasa nawe ni mama wa familia.Salamu kwa wadau wa familia yako huko kusini nyanda za juu na ughaibuni pia.
ReplyDeleteAhsante kaka Ray! Nawe pia ubarikiwe sana kwa kutochoka kupita hapa na kuacha lako lililo moyoni.
ReplyDelete