Wednesday, September 2, 2015

UJUMBE WA WIKI HII KUTOKA KWA KAPULYA!

Msione nipo kimya nipo sema tu mambo ya afya hayapo sawa sanma na majukumu ni mengi basi kila kitu kimejichanganya...Ila tupo Pamoja.....Kapulya.

3 comments:

  1. Pole sana na afya yako, ni maombi yangu upone haraka dada Yasinta.
    Mungu azidi kukutia nguvu katika yote.

    ReplyDelete
  2. Pole sana Dada,nakuombea nafuu. Pole pia kwa majukumu mengi. Ndio ukubwa huo tena Dada.

    ReplyDelete
  3. Usiye na jina/ ila naamini una jina:-) Napenda kuchukua nafasi hii na kukushukuru kwa maombi yako. Pia si unajua sisi wanadamu ni lazima iwe hivi siku moja moja.

    Kaka Nicky! Ahsante kwa kuniombea, Umenifanya nitabasamu hapa uliposema kuwa majukumu ndio ukubwa:-)

    ReplyDelete