Hapa kazi ipo fikiria huyo nyoka yupo pia ndani ya gari, au kwenye kiatu na pia hata chooni, Ndugu zangu tuwe makini tusikurupuke tu tuchunguze kwanza....Hata kitandani uendapo kulala chunguza kwanza......Niwatakie kila la khri na panapo majaliwa tutaonana tena...Kapulya:-(
Kwa wachina hiyo ni kitoweo kinono. By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu! umenichekesha kweli!
ReplyDelete