PICHA KUTOKA KITABU CHA DARASA 5 TUJIFUNZE LUGHA YETU! KWA DARASA LA NNE...
Na kitabu chenyewe kinaonekana hivi kwa nje....Picha ya kwanza ni hadithi ya jogoo aliyesema, ya pili ni Sadiki na Sikiri, ya tatu nimesahau sijui kuna anayekumbuka anisaidie?.ya nne ni Sizitaki mbichi hizi
Usijuruhusu kukasirika au kutishwa na lolote. Kula vizuri hasa kwa kuepuka chumvi mafuta na sukari. Lala vya kutosha, kunywa maji. Hata hivyo, wakati mwingine ni majaliwa yake Muumba japo tunaweza kupendekeza tuliyopendekeza. Huwa nina falsafa moja kila linitokeapo jambo hasa lile baya: It is not the end of the world.
Ni kitabu cha darasa la tatu hicho. Unajua darasa la kwanza tulikuwa tunatumia Kitabu cha kwanza cha kusoma na Kitabu cha pili cha kusoma. Darasa la pili tulitumia kitabu cha tatu cha kusoma na Kitabu cha nne cha kusoma. Darasa la tatu ndio tukaanza Tujifunze lugha yetu kitabu cha tano. Kwa hiyo hicho kitabu cha 5 kwenye picha si kwamba ni cha darasa la tano, ni cha darasa la tatu. Darasa la tano kuna habari za Umoja ni Nguvu, Kapulya Mdadisi (uwimbombo na ulindi), Hekaheka mtoni, Safari yenye mkosi, Mafuriko ya mto Rufiji, Ulinzi na Usalama, Asiyesikia la mkuu huvunjika guu (nganenepa sasa Kandi, shime chakula changu), Kuheshimu bendera ya taifa, Mapinduzi ya Unguja, Sauti ya Tanzania Dar-es Salaam (hapa tunapata wimbo maarufu wa "Tanzama ramani utaona nchi nzuri"), Mwasimba katika mapango ya amboni, Chilunda apambana na chui...
Da Yasinta usitake kuniliza. Maana umenikumbusha mwaka 1973 nikiwa darasa la tatu., We acha tu.
ReplyDeleteMwaka 1973 la tatu mmmhhh kumbe ww wa kadeni..(kingoni) unakaribishwa hapa kwetu maana kuna kitabu cha darasa la tatu mpaka la sana ,,,,
ReplyDeleteUlildhani mie ni yanki siyo? Ni kujitunza tu vinginevyo ni kababu fulani maana kitegemezi changu cha kwanza kiko chuo sasa.
ReplyDeleteUnaonekana yanki ama kweli wajua kujitunza nipe siri nami nionekana yanki wakti kitemezi changu kikianza chuo:-)
ReplyDeleteUsijuruhusu kukasirika au kutishwa na lolote. Kula vizuri hasa kwa kuepuka chumvi mafuta na sukari. Lala vya kutosha, kunywa maji. Hata hivyo, wakati mwingine ni majaliwa yake Muumba japo tunaweza kupendekeza tuliyopendekeza. Huwa nina falsafa moja kila linitokeapo jambo hasa lile baya: It is not the end of the world.
ReplyDeleteNi kitabu cha darasa la tatu hicho. Unajua darasa la kwanza tulikuwa tunatumia Kitabu cha kwanza cha kusoma na Kitabu cha pili cha kusoma. Darasa la pili tulitumia kitabu cha tatu cha kusoma na Kitabu cha nne cha kusoma. Darasa la tatu ndio tukaanza Tujifunze lugha yetu kitabu cha tano. Kwa hiyo hicho kitabu cha 5 kwenye picha si kwamba ni cha darasa la tano, ni cha darasa la tatu. Darasa la tano kuna habari za Umoja ni Nguvu, Kapulya Mdadisi (uwimbombo na ulindi), Hekaheka mtoni, Safari yenye mkosi, Mafuriko ya mto Rufiji, Ulinzi na Usalama, Asiyesikia la mkuu huvunjika guu (nganenepa sasa Kandi, shime chakula changu), Kuheshimu bendera ya taifa, Mapinduzi ya Unguja, Sauti ya Tanzania Dar-es Salaam (hapa tunapata wimbo maarufu wa "Tanzama ramani utaona nchi nzuri"), Mwasimba katika mapango ya amboni, Chilunda apambana na chui...
ReplyDeleteAisee uko vizuri,ulivyotaja hizo hadithi kwa hicho kitabu ni as if niko tena kwa class
Deletevimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg
ReplyDeletesamahani Nilikuwa natamani kujua mwandishi wa hiki Kitabu alikuwaga Nani?
ReplyDeleteKitabu kiliandikwa na wizara ya elimu ya taifa kwa kukusanya mashairi na hadithi mbalimbali zilizotungwa na watu tofauti
Delete