Thursday, May 28, 2015

LEO NA WANGONI WETU HAPO KALE!!

pPicha ya leo /wiki ni hii hapa....ni ndugu zetu wangoni hapo kale...nimependa mavazi yao ...PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA  HAPA HAPA :-) KAPULYA...

3 comments:

  1. Dah!natamani kujua majina yao.

    ReplyDelete
  2. Kuenzi mazuri ya asilia ni muhimu sana

    ReplyDelete
  3. Usiye na jina! tutafanya utafiti

    Kaka Mwangoka! Hakika ni muhimu sana

    ReplyDelete