Nilitumiwa picha hii na msomaji wa Maisha na Mafanikio 2012kwanza nikashikwa na butwaa, na pili nikajiuliza ni ubunifu? Na tatu nikajiuliza kukosa mtu wa kumtunza mtoto au chekechea? Nawaachia mwenzangu tusaidiana kujadili hapa...Duh! ila sidhali kama mtoto huyo anapata raha hapo.....MCHANA MWEMA MAJEMANI!!!
NA LEO NIMETUMIWA HII HAPA
Kwa mimi naona afadhali ya hapa mtoto anapata raha kidogo maana ni mto ila huu mti, Duh ...Je? Na huu ni ubunifu? KILA LA KHERI PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA!!
Ila huku ni kutesa watoto bana
ReplyDeleteNakubsluana nawe kaka Nicky ni kweli si ubonifu mzuri na sahihi.
ReplyDeleteA very dirty trick.
ReplyDeleteUsiye na jina :-)
ReplyDelete