Tuesday, April 21, 2015

SWALI LA LEO:- UNAJUA NI KABILA GANI HUTUMIA MBINU/UBUNIFU HUU NCHINI TANZANIA?

Hakika watu ni wabunifu ...ila binafsi ningependa kuwabeba mgongoni..au wewe mwenzangu unasemaje?

4 comments:

  1. Kama si wajaluo basi ni wakulya tokana na mwonekano wao ila huu si ubunifu bali utesaji watoto.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango mie nadhani ni Wagogo au Wanyakyusa..maana hupenda sana kubebe kwa mtindo huo. Ila kama ulivyosema huu ni utesaji ukiangalia hata hawajakaa vizuri wala raha.

    ReplyDelete