Kwanini tusiseme kuwa ntchito za bwino zili mu Ambuye?Ni wazo tu.
Duh! Prof. Mhango umenikumbusha hilo neno ntchito...likiwa na maana kazi si ndiyo??
Da Yasinta kweli ntchito ni kazi na ukiitaja ni kwa heshima kweli kweli. Usukumani na unyamboni huiita mirimo. Wakikuyu huita wela na wazulu na wandelebele wa Zimbabwe huiita umsebenzi huku wa wafaransa wakiita travail na majina mengine mengi tu.
Kwanini tusiseme kuwa ntchito za bwino zili mu Ambuye?
ReplyDeleteNi wazo tu.
Duh! Prof. Mhango umenikumbusha hilo neno ntchito...likiwa na maana kazi si ndiyo??
ReplyDeleteDa Yasinta kweli ntchito ni kazi na ukiitaja ni kwa heshima kweli kweli. Usukumani na unyamboni huiita mirimo. Wakikuyu huita wela na wazulu na wandelebele wa Zimbabwe huiita umsebenzi huku wa wafaransa wakiita travail na majina mengine mengi tu.
ReplyDelete