Sunday, April 12, 2015

HII NI KAZI YA MIKONO YANGU...NAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA NA MIKONO!!!!

 Nimeamka asubuhi hii na kujisikia hamu ya kuoka mikate na hapa mbaona matokeo yake
Napenda kuoka tu lakini sio kula usiniulize kwa nini kwa vile unajua jibu:-)  Nimezoea kula mihogo ya kuchemsha:-)

8 comments:

  1. Hongera sana Dada. Hapo chai vikombe 6 twende

    ReplyDelete
  2. Vikombe 6? Mama weee inabidi nikanunue lisufuria:-)

    ReplyDelete
  3. duh...dada mimi nitaomba somo la kuoka kwakweli....nimeipendaaa inavutia hasaaa

    ReplyDelete
  4. Una haki na kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kukupa ujuzi wa kutengeza maakuli. Hawa jamaa wanaonekana yummy kama hawana mafuta mengi. Enjoy your stuff.

    ReplyDelete
  5. Mama Alvin wala usihofu kuhusu somo hilo ....sio kuvutia tu na kupendeza ni mitamu pia:-)

    Kaka Mhango! usiogope haina mafunta mengi ,,,Karibu!

    ReplyDelete
  6. Hongera Kadala..umenitamanisha....

    ReplyDelete
  7. Yasinta the bakery chef lol! They look yummy

    ReplyDelete
  8. Kachiki Ahsante ...Karibu bado ipo....
    Candc...Karibu sana hapa kibarazani na pia kula mikate

    ReplyDelete