Sunday, March 15, 2015

SALA YA LEO...AMBAYO IMETUNGWA NA KAPULYA WENU.

Mwenyezi Mungu ! Sikuombi uyafanya maisha yangu yawe rahisi, isipokuwa nakuomba unipe nguvu za kukutana na shida zote.Amina

5 comments:

  1. Omba Mungu usikutane na matatizo yote hata kama una nguvu kama tembo. Omba usikutane na shida ndugu yangu. Shida hazina mazoea wala nguvu dada yangu.

    ReplyDelete
  2. Umepaka rangi ya kucha nyeusi kumbe nawe umo. Huvumi lakini umo mdogo wangu Yasinta.

    ReplyDelete
  3. USIYE NA JINA WA 1:40 pm! DUH UMEONA HADI RANGI YA KUCHA NILIPAKA...KUSEMA KWELI NAPAKA SANA RANGI YA KUCHA AMBAYO IPO KAMA MAJI TU.....

    Dada M! Amina!

    ReplyDelete