Friday, March 13, 2015

PICHA YA WIKI:- KULA MNO NI HASARA NA HASA KIPINDI HIKI CHA KWARESMA!

NAWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA. IJUMAA NJEMA!

8 comments:

  1. Karibu kachiki wangu...ila najiuliza sijui watamaliza kweli?
    Ni kweli kaka Ray inatisha ...je wewe unafikiriwatamaliza???

    ReplyDelete
  2. Hawa ni wasanii tuu, sidhani kama watamaliza disi lote,na hata vijiko wanavyolia ni vikubwa mno, tonge halitapita! By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Kaka Salumu ! Usishangae ukaona wmemaliza?

    ReplyDelete
  4. Hawa wanjemba hawali wanaonja. Hilo sosi mifuta itawanyotoa roho wallahi.

    ReplyDelete